Minnesota Swahili Christian Congregation
A Lutheran worship service in the Swahili language has been meeting at Holy Trinity for many years on Sunday afternoons at 12:00 pm. Pastor Andrea Mwalilino, originally from Tanzania, serves as the pastor for the Minnesota Swahili Christian Congregation. This ministry welcomes all Swahili speakers and people from east African countries who now live in the Twin Cities area.
The congregation has a youth director who works with the many young people and also has an active women’s ministry. We love the opportunity to celebrate in community – so we have many celebrations, meals, and events following our weekly worship services. We hope you will join us!
Pastor Andrea Mwalilino is available at 763-496-9292 or amwalilino@yahoo.com.
Usharika Wa Kiswahili Wa Kikristo Minnesota
Usharika wa Kiswahili wa Kikristo Minnesota umekuwa ukikutana Holy Trinity Lutheran Church na kutoa huduma ya ibada yao kwa lugha ya Kiswahili kila Jumapili saa sita mchana kwa miaka mingi. Mchungaji Andrea Mwalilino ambaye ni mchungaji kutoka Tanzania ndiye mchungaji kiongozi wa usharika huu. Usharika wa Kiswahili Minnesota unawakaribisha watu wote wanaozungumza Kiswahili kutoka nchi za Afrika Mashariki wanaoishi miji pacha ya Minneapolis na St.Paul, Minnesota kujumuika pamoja katika kumwabudu Mungu na kutangaza Injili ya habari njema za wokovu.
Usharika unatoa huduma kwa vijana, kipa Imara, shule ya Jumapili, Idara ya wananwake, idara ya wanaume na huduma zingine zotezinazohitajika.Usharika unayo furaha kuwahudumia watu wote wanaohitaji huduma katikaJamii yetu ya wazungumza Kiswahili. Kwa pamoja kama jamii tunafurahia sana kukutana na kufanya shughuli mbalimbali za kijamii kama sherehe, kula pamoja na kushiriki matukio mengi yanayotokea katika jamii yetu na katika kila siku ya Ibada Jumapili.
Kwa mawasiliano Mchungaji Andrea Mwalilino anapatikana wakati wowote kwa namba hii 763-496-9292 (Cell)